Hivyo basi, ni jukumu la kila mtu kuhakikisha ya kwamba hali ya usafi unadumishwa kila wakati.
Kwa mfano ugonjwa wa kipindupindu unahatarisha maisha ya watu wengi.
Waswahili husema kuwa kuzuia ni bora kuliko kuponya.Fauka ya hayo, itakuwa ni jukumu ya kila mtu kuhakikisha anaishi katika mazingira safi,ilikuepuka magonjwa kama hayo.
Utoaji au utumiaji wa maji safi,vyoo bora na elimu ya afya kwa umma na usafi wa mazingira,ni baadhi tuu ya namna ya kupunguza madhara au kukabiliana na tishio la ugonjwa wa kipindupindu
Chakula ni Uhai, ukikaa bila kula kwa muda mrefu chochote utakachokiona utakitamani, hasa ukiwa katika mazingira ya nje na maeneo unayoishi, ukiwa maeneo ya vijijini utainjoi kupata ladha nyingine ya aina ya vyakula ambavyo hujavizoea,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.