Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

View attachment 665020
Wakati tunausubiria! SHIMBA YA BUYENZE, hii roll call uliyoifanya humu mbona, andjul is missing in action? [emoji23][emoji23]
Mweke katika sala zako. Anazihitaji sana. Uwe na Mwaka Mpya Mwema wewe pamoja na wapendwa wako - huko kwenye baridi, Nansio na Dar ulikokulia. Mi nipo hapa Rocky City kwa Numbisa japo hataki kukaribisha wageni. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mweke katika sala zako. Anazihitaji sana. Uwe na Mwaka Mpya Mwema wewe pamoja na wapendwa wako - huko kwenye baridi, Nansio na Dar ulikokulia [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Oh, boy! Mungu ni mwingi wa neema na rehema, atamjalia yote yaliyo ya heri! Na kwako pia huko Koromije! Huku Nansio kwa sasa hivi hakufai!
 
आप सभी को आने वाले नव वर्ष की ढेरो शुभकामनाएँ![emoji92][emoji177][emoji120][emoji56]

पुराने साल में हमने जो भी किया, सीखा, सफल हुए या असफल हुए उससे सीख लेकर, एक नई उम्मीद के साथ आगे बढ़ना चाहिए।

एक नया वर्ष एक नई शुरूआत को दर्शाता है और हमेशा ज़िन्दगी में आगे बढ़ने की सीख देता है।

जिस प्रकार हम पुराने साल के समाप्त होने पर दुखी नहीं होते बल्‍कि नए साल का स्वागत बड़े उत्साह और खुशी के साथ करते हैं, ठीक उसी तरह जीवन में भी बीते हुए समय को लेकर हमें कभी भी दुखी नहीं होना चाहिए।

जो बीत गया उसके बारे में सोचने से हमे तकलीफ ही मिलती है तो ऐसा ना कर के आने वाले अवसरों का स्वागत करें और उनके जरिए जीवन को खुशहाल और बेहतर बनाने की कोशिश करें।
 
Your job will do no more for you than you do for it.

Any job contains opportunities for personal growth if you approach it as a positive learning experience. Just as every business is required to adapt to new technologies, new competitors, and countless other changes that routinely occur, so is every individual. If you are not learning and advancing in your job, you are stagnating and falling behind. It is impossible to stand still. View each day as an opportunity to learn something new, to improve yourself, and then do one thing better than you have ever done it before. In a dynamic organization, it is impossible to master every task; just when you think you have everything figured out, things change. Accept such changes as a necessary aspect of business, one that makes life interesting and exciting. You will find your job much more enjoyable when you do, and you will indeed find that it does more for you than you do for it.
 
[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]

People will find love and courage and happiness in 2018. People will graduate in 2018. People are going to meet new friends in 2018. Someone is going to meet the love of their life in 2018. Someone is going to get their first car. Someone will get off the streets. Someone is going to reunite with an old friend. Someone will leave an unhealthy relationship. Someone will learn to accept themselves. Someone will come out of the closet. Someone will transition. Someone will buy their first home. Someone will pay off their debt. A kid somewhere is going to get their first dog. Someone is going to beat cancer. Someone is going to overcome an unhealthy addiction. Someone will recover. Someone will seek help for their demons. People will reach their goals.

"And all these are reasons to keep going."[emoji92][emoji106][emoji253][emoji111]️[emoji110]

Happy New Year 2018[emoji177][emoji92]

[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]
 
61fabed37a52fd4cf097c6034f03ef23.jpg
 
Lakini kama hiyo haitoshi maisha ya mafanikio huenda sambamba na kufanya tathimini, hatuwezi kuanza mwaka mpya, bila kufanya tathmini kwa yale ambayo tumeyatekeleza kipindi cha nyuma. Endapo utashindwa kufanya tathimini utashindwa kuelewa ni wapi ambapo ulishindwa kutimiza lengo lako.
 
Kufanya tathimini ni muhimu sana ili kuifanya akili yako itambue ya kwamba ni muhimu kuweka uchumbuzi yakinifu kwa mambo ambayo umeyafanya katika kipindi hiki kabla ya kumaliza siku 365 na kuanza mwaka mpya.
 
Inawezekana bado upo kwenye mataa na bado unashangaa uelekee wapi, wala usipate tabu kwa kuwa nataka tuweke mambo bayana ambayo yatukusaidia kufanya tathimini katika mwaka huu ambao zimesaria siku kadhaa kuisha.
 
Back
Top Bottom