Vyakula vyenye Vitamini A,B,C na E
Hizi vitamins zote nne zinausaidia mwili kuanzia juu mpaka chini, kwa kuweza kuwa na ubongo wenye afya atimaye kuwa na akili timamu, Kuwa na macho yanayoona vizuri,Ngozi inayongaa vizuri, Siri ya kuzipata hizi vitamamini kwenye chakuala cha mtoto pendelea kutumia vyakula kama, caroti, viazi vitamu hivi vina kiwango kikubwa cha vitamin A,