kwani uso ndio kila kitu, wengi wanaita ‘reception’ na kama ngozi ya uso wako haitakuwa na muonekano mzuri, basi hata urembo wako pia utakuwa mashakani.
kwani uso ndio kila kitu, wengi wanaita ‘reception’ na kama ngozi ya uso wako haitakuwa na muonekano mzuri, basi hata urembo wako pia utakuwa mashakani.
Matunzo ya uso yanahitaji umakini na ufuatiliaji wa karibu kwani ni eneo linalokabiliwa na changamoto nyingi katika mwili hasa kwa watu wenye ngozi za mafuta.
Kwa kuzingatia kuwa uso ndio ukaribisho kwa mtu yeyote linapokuja suala la urembo, ni muhimu kuhakikisha kuwa ngozi yako inakuwa katika hali nzuri na safi wakati wote.