Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

7489f310aacbd0d620edfcc516799a46.jpg
 
Sijaelewa hayo majina aliyotumention ni ambao hawatoi like or? So like nnazotoa ni upepo au?

Halafu BigBaba kuwa makini nahisi soon account yako itaunganishwa au imeshaunganishwa na ID maarufu humu
Umenisahau baba la baba
Kwa kweli hizi sio tuhuma ni kweli kabisa nimerudi nyuma sana sijaona like za hawa watu so inabidi kufanya decision kuhusu wao yaani Niko moto hata likes zangu kwao naweza kuzitoa kabisa na Nina uwezo huo sishindwi kuanzia post number one nakuanza kuremove likes[/QUOTE]
It might be
Ambao wanalalamikiwa kwenye huu uzi naomba mfate sheria za uzi ilituweze kwenda pamoja msiharibu huu uzi.


Toa likes sambaza likes[/QUOTE]
Kwa kweli hizi sio tuhuma ni kweli kabisa nimerudi nyuma sana sijaona like za hawa watu so inabidi kufanya decision kuhusu wao yaani Niko moto hata likes zangu kwao naweza kuzitoa kabisa na Nina uwezo huo sishindwi kuanzia post number one nakuanza kuremove likes
Baba watoto ! My dear![/QUOTE]
 
Back
Top Bottom