Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bata mzinga mmoja mwenye kilo 12 kwa jike na kilo 15 kwa dume anauzwa hivi;
Bata mzinga jike ni shilingi 60,000
Bata mzinga dume ni shilingi 70,000
Mfano una bata mzinga 2,000, majike 1,000 na madume 1,000 unajua utakuwa una miliki shilingi ngapi?
 
Mfano ukijiingiza katika biashara hii kwa kununua bata mzinga wadogo 40 kwa shilingi 25,000 kwa kila mmoja unaweza kupata majike 25 na madume 15 kwanza ili uanze kutengeneza kizazi cha kufuga kwanza. Chukulia mfano jike moja likitotoa vifaranga 10 x 25 = 250. Fanya kila bata mzinga atotoe mizunguko mitano itakuwa 250 x 5 = 1,250
 
Sasa chukua hao watoto 1,250 nao wawe madume nusu na majike nusu 625 x 10 = 6,250. Chukua idadi ya kwanza 40 + 250 + 1,250 + 6,250 = 7,790 unaona wanavyoongezeka kutoka 40 hadi sasa una bata mzinga 7,790 tayari hapa wewe ni milionea hizi ni sawa na shilingi 467,400,000 unazo ndani.
 
UUZAJI VIFARANGA
Hawa bata mzinga 38,950 unaweza kuuza kama vifaranga, na kila kifaranga utakiuza kwa shilingi 25,000. 38,950 x 25,000 = 973,750,000 hii ni fedha taslimu utaipata kwa kuuza vifaranga.
 
[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]

FOCUS
Achieving your goals is a very important priority in your Life. You can only do that when you're focused!
on a journey to success, obstacles are countless. Do not stop to throw stones at every dog that barks at you, you're only delaying yourself from getting to your destination. In essence, stay focused and ignore what needs to be ignored![emoji92]

[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]
 
Saratani hudhuru mwili kwa chembe zilizoathirika zinapogawanyika bila utaratibu unaofaa na kuweka mikusanyiko ya uvimbe ya chembe hai.
 
Uvimbe huo mara nyingi huwa hauna maumivu na hukua kabla ya kuingilia kwenye mifumo ya unyeyushwaji wa chakula,
 
Ugonjwa huu ni matokeo ya kukua na kutokufa kwa chembe hai, Kwani kawaida chembe mwilini hufuata taratibu maalum za kukua,
 
Back
Top Bottom