Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pindi mchakato huo unapofanyika, ndipo saratani hujitengeneza na ni tofauti na mfumo wa kawaida wa chembechembe,
 
chembembechenbe za saratani hazifuati utaratibu wa kufa na huendelea kukua na kujigawanya hali ambayo hufanya kuwepo kwa chembe nyingi zisizokomaa zinazokuwa nje ya utaratibu.
 
Zipo dalili ambazo ukiziona ni vyema kwenda kwa mtaalamu wa maswala ya afya kwa ushauri zaidi, dalili moja wapo ni upungufu wa uzito usioelezeka
 
watu wengi wenye dalili za ugonjwa wa saratani hupoteza uzito kwa kipindi fulani
Unapopoteza uzito kwa kutojua sababu,
 
hali hii huitwa kupungua uzito kusikoelezeka kupungua uzito usioelezeka wa pauni 10 au zaidi kunaweza kuwa sababu za awali za ugonjwa wa saratani.
 
Dalili nyinginea ya ugonjwa wa saratani ni unyong’onyeaji, hali hii inaweza kuwa ni moja ya kukua kwa saratani kwani inaweza kutokea mapema kwa mtu mwenye dalili za ugonjwa huo.
 
Pia karibu wagonjwa wote wenye saratani huwa na homa kwenye vipindi tofauti, hasa kama saratani yenyewe au tiba yake inaathiri mfumo wa kinga ya mwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…