Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mungu ni mwema. Habari ya leo mkuuUmeanza. Kwema?
Hakika Mungu anatenda kusema ukweli. Leo kwako ni usiku au mchana?Na iwe mwaka wenye kheri na kwako pia shemeji...
Habari ya huko uliko na maendeleo yenu?
Safi kabisa. Napambana na baridi tuMzima kabisa, Tumshukuru Mungu[emoji120] [emoji120] Za kwako shemeji?
Numbisa hakuwepo nikataka nitwange somo hilo, sema tu sikujipanga vizuriUmeanza eeh?
Naona umerudi kwa kasi ya 4g,karibu tena shemeji nafurahi kukuona tena