kibumbu
JF-Expert Member
- Mar 30, 2017
- 1,420
- 3,482
Kila nikikuangalia mapigo ya moyo yanaenda kasi[emoji23][emoji23][emoji23]me hata sijui
Kila nikikuangalia mapigo ya moyo yanaenda kasi[emoji23][emoji23][emoji23]me hata sijui
Aiseeh![emoji23]pole eehKila nikikuangalia mapigo ya moyo yanaenda kasi
Uzi wa baba karudi sikuuona nadhan nimeiruka notification. Ngoja niende kwa millyUliitwa kule kwenye uzi wa "baba karudi" Ulienda?
Halafu kuna ubuyu kwa milly wa yule kuwadi wa bongo movie yule mfupi kama mimi ila mwanaume
[HASHTAG]#baba[/HASHTAG] ongea na mwanao#
Nenda kwa milly
Kibumbuuuuuuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Jirani njoo !!!Kila nikikuangalia mapigo ya moyo yanaenda kasi
Nenda mwaya sema una code ila utaelewa tuUzi wa baba karudi sikuuona nadhan nimeiruka notification. Ngoja niende kwa milly
Mkuu macho yake kama yana sumakuKibumbuuuuuuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Jirani njoo !!!
Shemejiiiiii[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kibumbuuuuuuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Jirani njoo !!!
Huu apaUzi wa baba karudi sikuuona nadhan nimeiruka notification. Ngoja niende kwa milly
Hio code niliiona kwa milly ikafunguka kwenye commentsNenda mwaya sema una code ila utaelewa tu
Wa mtu mfupi umeuona?halafu kuna binti kule analalamika jamaa alimuunga kwenye gridi ya taifa sema acc yake kaweka privateHio code niliiona kwa milly ikafunguka kwenye comments
Sijaambulia kitu paleHuu apa
Baba ameshafika
Pole sana aiseh!ulisoma comments zote?Sijaambulia kitu pale
Nimeuona huo ubuyu,kama ni kweli bongo movie imekwisha maana kajamaa nako kanawaonja vya kutoshaWa mtu mfupi umeuona?halafu kuna binti kule analalamika jamaa alimuunga kwenye gridi ya taifa sema acc yake kaweka private