[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Baridi imekuwa kali [emoji6] [emoji6]Hicho kiemoji kilichotoa ulimi hapo maana yake nini? Weweee! Baridi imekuzidia ama?
Muhenga is out...Ni majirani zetu huko kwa akina Onyango[emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] Uwe na jumapili njema dadiiUsinifanye nikaparamia mabasi ya kuja Mafinga sasa hivi. Enjoy your Sunday. Tena usikose kwenda kutubu leo...
You too bebi....Blessings...[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] Uwe na jumapili njema dadii
Sasa? Nikusaidiaje?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Baridi imekuwa kali [emoji6] [emoji6]
Yaaaaa manMh. Kibumbu in da house. Naona tu likes...
Ameiondoa ile avatar iliyokuwa inakusumbua mkuu. Mwombe airudishe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nimeyakumbuka macho ya carb
Ilikua ina yakosha macho yanguAmeiondoa ile avatar iliyokuwa inakusumbua mkuu. Mwombe airudishe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Tuanzishe kampeni airudishe mkuu...Ilikua ina yakosha macho yangu
Mtu wa butiama huyoNumbisa huyu bila shaka yoyote ni Mkoromije.