Nishati ya uhakika mnayo? Tuanzie hapo kwanza....Tanzania ya uchumi wa kati haitojengwa na viwanda hasa vya wawekezaji wenye mitaji mikubwa kutoka nje pekee. Tunahitaji ushiriki wa wananchi kupitia viwanda vidogo, vya kati na hatimaye viwanda vikubwa.
Tunayo hahahahaNishati ya uhakika mnayo? Tuanzie hapo kwanza....
Kwema mwanamke wa shoka?
Leo mi ni Mwanaume wa Dar kabisaa. Tena hapa nipo nafaudu maembe ya pilipili na mahindi yaliyoungwa. Ila bado nalikumbuka jiji la Mwanza...Kaya ni kaya duhu. Bhagosha !!!Tunayo hahahaha
Kwema kabisa,za wapi leo?
Usisahau chips yai hahahaLeo mi ni Mwanaume wa Dar kabisaa. Tena hapa nipo nafaudu maembe ya pilipili na mahindi yaliyoungwa. Ila bado nalikumbuka jiji la Mwanza...Kaya ni kaya duhu. Bhagosha !!!
Mamboz binti mzuri na mpoleUsisahau chips yai hahaha
Bro broLeo mi ni Mwanaume wa Dar kabisaa. Tena hapa nipo nafaudu maembe ya pilipili na mahindi yaliyoungwa. Ila bado nalikumbuka jiji la Mwanza...Kaya ni kaya duhu. Bhagosha !!!
Poa kijana mwerevuMamboz binti mzuri na mpole
Myoyambendi Big up kwako kiongozi09:56