Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

images.jpg

Rick rubin
 
Akizungumza katika mkutano wa hadhara, Hapi alisema uamuzi wa kuwapa eneo hilo lenye ukubwa wa eka 4.9 umekuja baada ya wafanyabishara hao kuiomba Manispaa ya Kinondoni, iwasaidie eneo jingine litakalowawezesha kuendesha biashara zao.
 
Walikuja ofisini kuomba tuwape eneo hilo, hivyo hatukusita, tumekubali kuwapatia kwa kuwa Kinondoni tunahitaji uwepo wao, soko hili la Kigogo litasaidia kuinua uchumi wa Kigogo eneo ambalo halikuwa na soko,” alisema.
 
Back
Top Bottom