Duh kimya!Kukiwa na shindano lolote la kukimbizana, nitasubiria mnitag nije mbio kama sijaingia kucheki kinachojiri.
Haya toa like upate like, timu nzuri sana.
Umeshiba sana?Usingiziiiiiiiiii huo baada inakaribia saa tisa na nusuuuuuu
Umeshiba sana?
Ntakuwekea likes kwenye pages! HahahahaNakuachia uchukue pages zako lol
Mie ziiiiiiiiiiiiiii
Ok naona mimi ndiyo nafunga gate!Yaani nimekomaaaa usingizi umeyoyoma
Sasa hivi naishia polepole. Kila ninapokula sana najutaga bado narudia eeeeh