Coutinho anatarajiwa kutambulishwa leo kuwa mchezaji mpya wa Barcelona baada ya klabu yake ya Liverpool kukubali kuuza kiungo huyo kwa dau la pauni milioni 142.
Nyota huyu atasaini mkataba wa miaka mitano na klabu itayotaka kumnunu mchezaji huyo italazimika kutoa kiasi cha pauni milioni 355.
Habari zinasema gharama zimeongezeka mara mbili na sababu kubwa ni hatua ya serikali kuondoa ruzuku ya vyakula uamuzi ambao umesababisha bei ya mkate kuwa mara dufu.
Habari zinasema gharama zimeongezeka mara mbili na sababu kubwa ni hatua ya serikali kuondoa ruzuku ya vyakula uamuzi ambao umesababisha bei ya mkate kuwa mara dufu.
Vyombo vya habari vimeripoti kwamba polisi walitumia mabomu ya machozi kutawanya watu ambao walikuwa wamefunga barabara na kuchoma matairi katika barabara za mji mkuu wa Khartoum.
Lakini naibu waziri wa mambo ya ndani alisema maandamano hayo hayakutokana na ongezeko la bei na akaahidi kuwashughulikia wote waliofanya maandamano yenye fujo. Pia, Serikali imezuia kuuzwa mitaani magazeti yote yaliyokosoa ongezeko la bei.
Vyanzo vya uhakika vimezema uamuzi wa kuongeza bei ya mkate umefikiwa na serikali ikiwa ni utekelezaji wa matakwa ya kufufua uchumi yaliyotolewa na IMF.
Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimeathiri upokeaji na uhakiki wanafunzi wa darasa la kwanza kutokana na idadi ndogo ya wazazi kujitokeza kuwapeleka shuleni.
Akiongea na Mwananchi leo Jumatatu Januari 8 mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kinondoni Emmanueli Kalalu amesema mvua zimeathiri upokeaji na kuhakiki wanafunzi kutokana na hali ya hewa.