Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mara baada ya kutia saini Bajeti ya Taifa ya mwaka 2017/18, Rais Ellen Johnson Sirleaf aliitisha kikao maalumu na wabunge akiwataka wapiti upya bajeti kutokana na uwezo mdogo wa serikali kukusanya dola za Marekani 563.6 milioni zinaohitajika.
 
Ripoti zinasema kwamba familia ya Mugabe inafahamika kwamba kwa uchache ina mashamba 14 yenye ukubwa wa karibu hekta 16 000. Awali ilifahamika kwamba familia hiyo, hususan Mugabe mwenyewe, hatachunguzwa na serikali.
 
Rais John Magufuli amemuapisha Doto Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini na kuiagiza wizara hiyo kwa kushirikiana na Wizara ya Katiba na Sheria kuhakikisha kanuni za sheria mpya ya madini namba 7 ya mwaka 2017 inasainiwa ifikapo Ijumaa, Januari 12, 2018.
 
Rais Magufuli ametoa agizo hilo muda mfupi baada ya Biteko kuapishwa leo Jumatatu Ikulu jijini Dar es Salaam na ameelezea kutoridhishwa kwake na namna viongozi na watendaji wa Wizara ya Madini wanavyotekeleza majukumu yao polepole na bila kujali maslahi ya nchi.
 
Back
Top Bottom