Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Weeeeh Numbisa that was just the clouds the rains of LIKE gonna fall soon...

Sawa my??
Heheheeeeeeheee weuweee ingekua nahongwa likes saiv ningeshatoa papa zamaaan na matokeo yangeonekana kama ya gigy money ila ndo hivyo tena sina my, honey,tomato source, bae etc humu JF. Acha kupenda avatar mkuu wengine mazombie humu ohoooo
 
Heee... Nani kasema nkuhonge LIKES. MAKUBWA.... [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Usitake nikutukane mkuu. Sio kila akuchekeae malaya be careful. Stay away from me. Pheeeewwwww mazoea sipendi

Huko mbali ni wapi?
Matusi ni sumu eeeeh au mkuki mpk yaniuwe au kunitoa ngozi....

Tulia wewe mtoto achana na mikwara. Ata simba ni mkali lkn analiwa tu.... Upo hapo Numbisa?
 
Heee... Nani kasema nkuhonge LIKES. MAKUBWA.... [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

Matusi ni sumu eeeeh au mkuki mpk yaniuwe au kunitoa ngozi....

Tulia wewe mtoto achana na mikwara. Ata simba ni mkali lkn analiwa tu.... Upo hapo Numbisa?
Hii thread siwez chafua kwa watu aina yako. Pumzika kwa amani kwenye ignore list yangu
 
Uhamisho wa Philippe Coutinho wa £142m kujiunga na Barcelona ulithibitishwa Jumatatu baada ya mchezaji huyo kutambulishwa rasmi kwa mashabiki Nou Camp.
Mbrazil huyo wa miaka 25 alitia saini mkataba akiwa pamoja na rais wa klabu hiyo Josep Maria Bartomeu, kabla ya kutambulishwa rasmi kwa mashabiki.
Liverpool na Barca waliafikiana kuhusu uhamisho wa Coutinho Jumamosi.
"Ningependa kumshukuru rais na kila mtu aliyechangia kufanikisha hili," amesema Coutinho.
"Nina furaha sana, ni ndoto ambayo imetimia na natumai kwamba nitafanya kazi yangu vyema uwanjani."
 
Bartomeu ameongeza: "Mashabiki wote wa Barca wana furaha kumuona Coutinho hapa."
Coutinho alifanyiwa uchunguzi wa kimatibabu na ingawa alibainika kwamba ana jeraha paja la kulia, alikamilisha uhamisho wake.
Jeraha hilo lilimzuia kucheza mechi ambayo Liverpool walilaza Burnley 2-1 siku ya mwaka Mpya.
Barcelona wamesema kiungo huyo wa kati huenda akakaa nje wiki tatu hivi.
Hii inaashiria kwamba anaweza kutarajiwa kucheza debi ya Catalona dhidi ya Espanyol tarehe 4 Februari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…