Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

tukiwa primary tulikua tunadhani dem akinyesha ni mgonjwa tunambeba tunampeleka staffroom tunasema "mwalimu Jane ana nose bleed hapo
chini" ,tunarudishwa na viboko[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji109][emoji208][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji97]
 
241dd14402d2dcefae7e6c8fe29d5971.jpg
 
IMG_20180109_112818.jpg
Askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), wakishirikiana na Jeshi la Polisi wanamshikilia Samwel Kilang'ani(63) kwa tuhuma ya kutoboa bomba la mafuta ya dizeli mali ya TPA na kujiunganishia hadi kwenye nyumba yake ambako ameweka mantanki makubwa ambayo ameyachimbia chini.

Msemaji wa TPA, Janeth Ruzangi amethibitisha kukamatwa kwa mtu huyo huku polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam ikiendelea kumshikilia kwa uchunguzi zaidi.
IMG_20180109_112818.jpg
 
Wakati vilio na simanzi vikitawala kwa wateja wa Benki ya Meru Community (MecoB) wakitaka kujua hatima ya fedha zao baada ya benki hiyo kufutiwa leseni, Shirika la Maendeleo ya Wakulima (Mayawa) limeelezea mpango wake wa kufungua kesi mahakamani kutetea haki ya wanachama wake waliokuwa wamewekeza katika Benki ya Wakulima (KFCB).
 
Januari 4, benki hizo pamoja na nyingine za Efatha, Covenant na Njombe zilifutiwa leseni na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kutokana na kuwa na mitaji midogo kinyume na matakwa ya Sheria ya Mabenki na Taasisi za Fedha ya mwaka 2006 na kanuni zake.
 
Wakizungumza na gazeti hili kwenye tawi kuu la MecoB, Usa River wilayani Arumeru waliokuwa wateja wa benki hiyo walisema jana kuwa kufungiwa kwa benki yao kumekuja wakati usio sahihi kwasababu wanahitaji fedha kwa matumizi mbalimbali.
 
Mwalimu mstaafu Christina Mbisse alisema licha ya kununua hisa zenye thamani ya Sh600,000 ameweka akiba kwenye akaunti maalumu Sh12 milioni ambayo ni mirathi ya mtoto wake wa kike aliyemwachia watoto watatu wanaohitaji kulipiwa ada.
 
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udsm), Anitha Haule alisema hajui hatma yake ya kuendelea na masomo kwa sababu benki hiyo ina akiba yake ya Sh5 milioni ambazo anazitegemea kwa ajili ya masomo. Naye meneja wa Mayawa, Charles Kamando alisema hatua hiyo imeathiri vikundi 278 vyenye wanachama zaidi ya 3, 000 waliokuwa na akaunti kwenye benki hiyo, hivyo watafungua kesi mahakamani.
 
Wilayani Missenyi, mweka hazina Saccos ya Kyaka, Wilson Wilbard alisema wamepanga kuitisha kikao cha dharura baada ya KFCB kufungwa huku wakiwa na akaunti iliyokuwa inatumika kwa ajili ya marejesho na kutoa fedha za kukopeshana.
 
View attachment 671566 Askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), wakishirikiana na Jeshi la Polisi wanamshikilia Samwel Kilang'ani(63) kwa tuhuma ya kutoboa bomba la mafuta ya dizeli mali ya TPA na kujiunganishia hadi kwenye nyumba yake ambako ameweka mantanki makubwa ambayo ameyachimbia chini.

Msemaji wa TPA, Janeth Ruzangi amethibitisha kukamatwa kwa mtu huyo huku polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam ikiendelea kumshikilia kwa uchunguzi zaidi.View attachment 671566
My "hero" [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Bheha, ambaye ni mkazi wa Rufiji mkoani Pwani, alitakiwa kuwa gerezani kutumikia kifungo cha miaka mitatu baada ya kutiwa hatiani katika shauri la uhujumu uchumi namba 5/2015. Lakini amekamatwa ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti (Senapa), akituhumiwa kujihusisha na ujangili.
 
Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Mara, Jafari Mohamed aliwaambia waandishi wa habari mjini Mugumu jana kuwa mfungwa huyo na wenzake watatu walikamatwa saa 12:00 jioni ya Januari 3 katika Kijiji cha Robanda baada ya polisi kupata taarifa kutoka kwa raia wema.
 
Aliwataja wengine wanaoshikiliwa kuwa ni wakazi wa vijiji vya Kono, Bwitengi na Robanda.

Kamanda Mohamed alisema watuhumiwa hao walikutwa wakiwa na meno manne ya tembo yenye uzito wa kilo 72.4, bunduki mbili - moja ya kivita aina ya AK-47 na Rifle pamoja na risasi 130.
 
Back
Top Bottom