Asante NumbisaMwenyezi Mungu aziweke roho zao mahali pema peponi Amen
Pole sana mkuu
BadoWaliohusika wameshakamatwa?
Shemeji yangu ndiye aliyewauaWaliohusika wameshakamatwa?
Ipo siku watalipa kwa kilewalichokitenda. Wana roho zaidi ya shetani kukatisha uhai wa wenzaoBado
Ipo siku watalipa kwa kilewalichokitenda. Wana roho zaidi ya shetani kukatisha uhai wa wenzao
Hii habari kama niliiweka jana humu. Maana niliitoa gazeti la mwananchi. Ni mwanamke mwenye mtoto wa miezi minne na mdogo wake aitwae MargretShemeji yangu ndiye aliyewaua
Jaman wazuri daah huyo jamaa si angetoa tu talaka yakaisha kuliko kuua jaman jaman binadamu sie
Wadogo zangu kabisa nimeumia sanaHii habari kama niliiweka jana humu. Maana niliitoa gazeti la mwananchi. Ni mwanamke mwenye mtoto wa miezi minne na mdogo wake aitwae Margret
I know msiba unauma sana hakuna maumivu ya kuulinganisha nao. Tuwaombee wapumzike kwa amani.Wadogo zangu kabisa nimeumia sana