Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wachezaji hao walipotoka nafasi zao zilichukuliwa na Yusuph Mlipili, Said Ndemla na James Kotei na Mohammed Ibrahim 'MO'.
Djuma alipoulizwa Kuhusu kutokurudi kwa wachezaji hao kwenye benchi alisema kuwa walipata majeruhi na walikuwa wakitibiwa.
"Walipata majeraha ya misuli na walikuwa wanapata matibabu," alisema Djuma.