Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2018-01-07-17-12-35.png
 
zisiwe gharama za uendeshaji i.e makato ya mwezi (hususani akaunti ya kukusanyia fedha za uwekezaji). Hakikisha kila mara unaweka kiasi
cha fedha kwenye akaunti hizo. Katika kila mapato yako, weka siyo chini ya 20% katika akaunti ya uwekezaji. Pia weka chenji za sarafu katika kibubu.
 
16. Wekeza pesa uliyokusanya katika mradi wowote ili kujiongezea kipato. Fanya tathmini (andisha mpango wa biashara yako i.e Business Plan). Usifanye biashara kichwa kichwa, au kuiga kutoka kwa marafiki. Pia unaweza kuuza vitu
vidogo vidogo sehemu unayoishi/kufanyia kazi. Mfano, kuuza maji ya baridi, chapati, maandazi, karanga, ice cream/barafu, ... Hapa utaepuka kodi, pia vinakuongezea marafiki.
 
17. Saidia wahitaji. Kujigharamia peke si sehemu ya maadaili katika jamii yoyote ile! Jitahidi kutoa msaada kwa watu wanohitaji kwa dhati msaada kutoka kwako. Mfano, kuwasaidia yatima, wagonjwa wasio na msaada, kutembelea wazee. Kufanya hivyo kutafupa faraja ya kweli, na watakuombea upate baraka zaidi. Jitahidi usiwape msaada watu wanaokwepa kujituma/kutofanya kazi. Hii
inawadumaza, na kuwafanya kuwa tegemezi wa kudumu.
 
18. Ishi kilimo kwanza. Unaweza kuotesha miche kadhaa ya nyanya miongoni mwa maua yako ya nyumbani, kuotesha miti ya matunda itakayokupatia kivuli na matunda, minazi. Usikubali kuotesha mimea yenye faida moja tu, mf. mapambo au kivuli, nyumbani kwako.
 
Back
Top Bottom