Milele daimaUpendo wetu udumu
Itakua ila sana sana carbaItakuwa carba au Nsamaka ana misika
Hata mimi nina wasi wasi. Mungu awe upande wake kwa kweliHahahahaha sijataja mtu ujue hahaha anonymous hawaonani bana
Yupo dar saiv. Ila kwa ukimya alionao isijekua keshapaa kwenda njombe haha
Umekujaaa Hahahahahhaha nimekusubir hatar hata usiponijibu poah tu
Mpende akupendaeNapenda watu wanaonipenda
Okay, na kwa mfano zile za Sports hasa transfer za wachezaji unaweza kuzikumbuka bila kufanya reference?Nyingi nazikumbuka ndo maana huwa sizirudii kupost humu
Kila jukwaa na post habar zake na nazikumbuka hasa vituko vya fb huwa sirudii picha