myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiku wa kupeana likes
Wewe mwifaa hiyo ni ya Jana umemwambia mwenzio saiv ndo kaamkaNa wewe pia Mkuu
Kidogo tu kina uwezo wa kuleta kikubwaaNgoja nkajiokotee vocha
Ukipata Usisahau kutoa piahToa nawe upate
Yeah nakumbuka maana ishu za soka napewa madongo kule lazima nikumbuke tuOkay, na kwa mfano zile za Sports hasa transfer za wachezaji unaweza kuzikumbuka bila kufanya reference?
Mfano mtu akikuuliza Coutinho alikohamia na kiwango change fedha, at least kwa wale wachezaji wakubwa.
Yan Leo nitalala naringa hujawahi nijibu Kiukweli Uwiiiiiiiiiiiiii Nina furaha ya ajabuKumbeee
Kula like na Ww toa likeSikuizi mnabana izi likes
Burudani gani ya usiku unanichangnya Tungo tata hiyoUsiku wa burudani
KweliKidogo tu kina uwezo wa kuleta kikubwaa
Toa like pata likeUsiku wa kupeana likes
Kitoo anavyo lalamikaga baridi....Njombe kwa jakitoo ujuee