Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
kwa wajomba ila niliipenda enzi za sir Ferguson mie muhenga bana usinikadirie chin ya 27 ujueeeKwa umri ninaokukadiria najiuliza uliipendea nini Manchester Utd.
Maana imeacha kushinda muda sana. Most likely utakuwa umegelezea Kwa mabro au baba.
kwa wajomba ila niliipenda enzi za sir Ferguson mie muhenga bana usinikadirie chin ya 27 ujueee