myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
tuwe na utulivu na upendo
Hv kale kake ni ka nini jamani, ka kibamia au katoto ka kibamia?
Hv kale kake ni ka nini jamani, ka kibamia au katoto ka kibamia?
Ada shinyanga zimepanda jamani, mweh.
Vyuma vimekaza wamiliki nao ada juu hadi kichwa kinapasuka kwa mawazo
Mkopo hapana, acha nipambane tu na hali yangu.Pole, karibu nakopesha kwa riba
Dah hata ka mwanangu ni kakubwa hahahaahhaDushe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkopo hapana, acha nipambane tu na hali yangu.
Asante sana.Haina shida mkuu, nakutakia kila la kheri katika mpambano, utafanikiwa inshallah
I salute you
Dah hata ka mwanangu ni kakubwa hahahaahha
Hahahaaa jana nilicheka sana hd nikaliaHahah huyo jamaa analo kwa kweli, mwanao ana hogo afu mzee mzima ana nukta nundu