Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Meneja wa Manchester United Jose Mourinho yuko tayari kuacha kumsajili Antoine Griezmann, 26, kutoka Atletico Madrid mwisho wa msimu na hata Gareth Bale, 28, kutoka Real Madrid, ili amsajili Sanchez na kumpa mshahara wa pauni 350,000 kwa wiki. (Mail on Sunday)
 
Manchester United wapo tayari kuvunja rekodi ya dunia kwa kutoa euro milioni 500 kumsajili Neymar kutoka Paris Saint-Germain. Real Madrid pia wanamtaka mchezaji huyo kutoka Brazil lakini hawatolipa zaidi ya euro milioni 400. (Le 10Sport)
 
60408ee3e47c077b326433ca8c13bf5f.jpg

Isssh!!! Kadada kanavutiaga kwa kweli
Yaani we jamaa wewe basi tu. Nitamalizia hii Tangawizi baadaye aisee.....
 
Back
Top Bottom