Na ukichunguza sababu ya kutokea kwa hali hiyo ni kwamba hakuna uhusiano wa macho na ubongo, huenda ukawa haujanielewa ila ukweli ni kwamba tumekuwa wavivu wa kufikiri. Hivyo nikusihi ya kwamba kila kitu ambacho unakiona mbele ya macho yako ni lazima ukitafakari katika ubongo usio kuwa wa kawaida, maana yangu ni kwamba kila kitu unachokiona lazima uwaze kitakupaje pesa.