Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

KUFUTWA KWA DHAMANA YA POLISI
Baada ya mtuhumiwa kupewa dhamana ya Polisi na kuwa huru dhamana hiyo inaweza kufutwa na mkuu wa kituo , chini ya kifungu cha 68 cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai. Baadhi ya sababu zinazoweza kusababisha uamuzi wakufuta dhamana ni:-
 
Na ukichunguza sababu ya kutokea kwa hali hiyo ni kwamba hakuna uhusiano wa macho na ubongo, huenda ukawa haujanielewa ila ukweli ni kwamba tumekuwa wavivu wa kufikiri. Hivyo nikusihi ya kwamba kila kitu ambacho unakiona mbele ya macho yako ni lazima ukitafakari katika ubongo usio kuwa wa kawaida, maana yangu ni kwamba kila kitu unachokiona lazima uwaze kitakupaje pesa.
 
Tafuta mahitaji ya watu.
Kila mahali unapoishi kwa namna moja ama nyingine watu huwa wanahitaji huduma au bidhaa fulani. Hivyo ni vyema ukaa chini na kutafakari ni vitu gani unadhani watu wanahitaji nini zaidi ? Baada ya kupata majibu ni wakati wako muafaka wa kuweza kuvisogeza kwa watu hao na wao wakanunua.
 
Moja ya tafiti ambazo ziliwahi kufanywa ni kwamba watu wengi hawana pesa kwa sababu kuu mbili, mosi kwa sababu hawatatui matatizo za watu. Sababu ya pili watu wengi hawana pesa kwa sababu wanatatua matatizo machache, hivyo siri ya kubwa ya mafanikio yako ipo katika kutatua matatizo ya watu wengi katika njia ya tofauti na walivyozoea wengine.
 
Rahisisha majibu ya kazi.
Watu wengi hupenda vitu ambavyo havina ugumu katika kufanya kazi, wetu wengi tunapenda kufanya kazi kwa kutumia njia rahisi na kupata majibu kamili tunayoyatarajia.
 
Hebu angalia moja ya tajiri mkubwa dunia bwana Steve Job ambaye ni mmliki wa kampuni ya Apple, yeye alitazama jinsi watu ambavyo walikuwa wanatumia vifaa vya kietroniki kama simu za butani, desktop computer ambazo kimsingi zilikuwa ni vigumu hata kutembea nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…