Mabele maliboto baba...[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ili akipate anachokitafuta ama?Endelea tu mama[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HapanaSakayo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee mzee upo!!Ili akipate anachokitafuta ama?
Hawako ili kujifunza. Dawa nzuri ni kupuuza immediately. Ukiendelea kuwajibu ndiyo wanakutibua zaidi. Na kwa vile wao (trolls) ndiyo kazi yao, wewe ndiyo utabakia na maumivu kama hutokuwa makini. Immediately tia kwenye ignore list na endelea na maisha yako !!!Nimeachana nae twin
Nimemwanzishia darasa la Kisukuma. Ni mwanafunzi mzuri sana bageshi !!!Nalimhola wifi wane.
Yaani...[emoji8] [emoji8]hivi naweza... [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ukizidi uwezo yes ukarimu waweza kukusikinisha. Unajikuta unasaidia hata wanaokuzidi uwezo !!!ukarimu haukufanyi uwe masikini
Nimemuona kaifukua picha nilipost zamani,alicho komenti sasa...Hawako ili kujifunza. Dawa nzuri ni kupuuza immediately. Ukiendelea kuwajibu ndiyo wanakutibua zaidi. Na kwa vile wao (trolls) ndiyo kazi yao, wewe ndiyo utabakia na maumivu kama hutokuwa makini. Immediately tia kwenye ignore list na endelea na maisha yako !!!
Ningekuwa nimekuzoea ningetia neno !!!