myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
16:55
![]()
Tofauti za dini zetu zimetukuta... 'Tupendane'
Habari ya jumamosi wapendwa wa humu[emoji120] [emoji120]
Mungu sio munguJakitoo,mungu gani anaesahau vitu!!
Amekua mwanadamu sasa!
Maana ni mungu mwenye enzi,anaejua kila kitu,mwenye uwezo wote,etc!
Inakuaje msahaulifu!
Mungu-Mwanadamu huyo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimesoma nimeshindwa kuelewa imebidi nicheke
Your name isMy ID
Mungu sio mungu
Rudia kusoma upya.
Kwema Mkuu hapa ni kwetuNiambie Cole Williams.. Unaendelea kukita kambi hapa Kijijini?
Hongera sana mkuu
Hahahaa fb wana lugha yao. Hakuna anayesema hapana akiwa njian kuelekea nyumban hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimesoma nimeshindwa kuelewa imebidi nicheke
NumbyYour name is
Sijibugi maswali.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu ni yupi!?
Unaonaje mkaweka herufi zote kubwa,yaani MUNGU!
Jakitoo,jibu swali!
"M"ungu ni nani hasa???
Eti ukimsahau na yeye anakusahau!!Mungu gani ana mavisasi kama mwanadamu!!!
Na kisasi ujue ni dhambi!!!Mungu mtenda dhambi!!
Haahhahaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuuuhhh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaa fb wana lugha yao. Hakuna anayesema hapana akiwa njian kuelekea nyumban hahaha