Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

e89e036e31d116d4f3750eac607ba8d6.jpg
 
Kugundua jambo ni swala linalochukua muda mrefu, na ugunduzi wa mambo au vitu vingi unavyovijua sasa ulifanyika miaka mingi sana iliyopita tofauti na ambavyo wengi wanavyoweza kufikiria
 
Hii ni kwa sababu ni rahisi sana kufikiria kwakuwa sasa teknolojia imekuwa, basi mambo yamegunduliwa kipindi cha hivi karibuni.
 
Ukweli ni kwamba maendeleo makubwa ya teknolojia yanayoonekana leo ziligunduliwa na kutengenezwa miaka mingi sana iliyopita.
 
Mwanasayansi Edward Jenner aligundua kinga ya ugonjwa wa Tetekuwanga katika kabla ya karne ya 19 — hii ilikuwa ni awamu ya kwanza tu ya toleo la kinga ya ugonjwa huu.
 
Mfanyakazi aliyekuwa akihudumia mifugo kwa jina la Sarah Nelmes alimfata Jenner baada ya kuugua tetekuwanga mikononi mwake aliyoambukizwa na ng’ombe aliokuwa akiwahudumia.
 
Back
Top Bottom