Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ingawa mamlaka ziliuthibitisha ugunduzi huu miaka miwili baadaye, ilibidi kusubiri mpaka mwaka 1982 pale ugunduzi wa kifaa hiki ulioboreshwa na Dkt. Robert Jarvik’s ulipata ruhusa ya kufanyiwa jaribio la kwanza lenye mafanikio kwenye mwili wa binadamu.
 
Ndege ya kwanza iliyogunduliwa na kurushwa bila kuwa na rubani ndani yake ni aina ya Lockheed D-21B. Ndege aina hii ya kijeshi ilitumiwa na Jeshi la Marekani kufanya safari za kipelelezi ikiwa kupiga picha kwenye anga la China kati ya mwaka 1969 na 1971
 
lakini ikaja kusitishwa matumizi yake kutokana na kuanguka mara kwa mara na pia kwakuwa Rais wa Marekani wa kipindi hicho, Richard Nixon kuzindua mfumo mpya wa satelaiti ambao ulikuwa ni mzuri azidi kupiga picha.
 
121a3b275f4bc96538236aec8488f33e.jpg
 
Aina ya kwanza kabisa ya simu za mkononi iligunduliwa na mtafiti wa kampuni ya vifaa vya kielektroniki ya Motorola, Martin Cooper (pichani). Simu hizi za toleo la kwanza zilikuwa zinamuwezesha mtumiaji kuongea kwa muda wa sekunde thelathini tu na ilihitaji kuchajiwa kwa muda wa saa kumi hadi kujaa, na ilikuwa na uzito wa kilo 1.3.
 
CHELSEA'S CRISIS MEETING

CONTE : Wase, good game but tumedraw tena.
HAZARD : ati good game, do you know that hatujashinda even a single game in 2018.
MOSES : bana, this year tumefunga only two goals in four games, msee ka Jesse Lingard pekee ako na two goals in just two games this year..
CONTE : Mbona nyinyi pia msicheze ka Lingard?
PEDRO : shida si kucheza ka Lingard, hiyo tunaeza, shida ni pale mbele, Morata.
afadhali tuexchange Morata na Olunga.
MORATA : olunga ananishindia nini?
PEDRO : wewe ushai funga hatrick ukiwa Spain?
MORATA : NKT.
HAZARD : tuambiane tu ukweli, Morata is very incompetent, huyu jamaa even if I left him in my bedroom with my wife naked, I won't be worried because he can't put it in.
MOSES : Sasa if he can't take open chances on the pitch, can he take with your wife?
MORATA : Sasa wife mgani mnaongelea hapa na Hazard ni shoga.
CONTE : Morata cheza chini young man, wasee tone down, hakuna matusi.
MORATA : si mnataka ukweli utambae.....
CAHILL : lakini pia Conte unashida, the whole week umekuwa ukifikiria tu what will you tell mourihno ukiingia press room.
CONTE : we ungefeel aje ukiitwa clown, ama match fixer ?
PEDRO : boss angefix tu hii game vile alakuwa anafanya huko Italy, hata ukiitwa match fixer sisi bora tuwin.
CONTE : wasee let's break.. Endeni muoge.
HAZARD : morata wewe tunamalizania huko Kwa washroom. unaita nani shoga?
MORATA : sorry I MISSED that, umesema ati nini?
HAZARD : of course you always miss everything. Wewe ungekuwa dem, ungekuwa unamiss periods monthly.
MORATA : but Ata kaa ningekuwa dem haungenikatia juu unapenda maboy.....
 
White parents : Honey can u give us a moment please?

Child : Sure thing mom.[emoji5][emoji18]

___

African parents : [emoji102][emoji102][emoji102]

Child : [emoji125][emoji125][emoji124][emoji124][emoji125][emoji125]

———————————————————

If you know , You know....
 
Back
Top Bottom