Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nipo. Leo naparamia mawingu....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee mzee upo!!
Kweli? Bila hata.... Mungu akakutangulie kwa Kila jambo.Nipo. Leo naparamia mawingu....
Cole[emoji119][emoji119][emoji119]Seeing is not believing
Hivi upo?Nalimhola wifi wane.
Kwa staili hii Hakuna kupona [emoji26]
Umenena vyema mkuuHawako ili kujifunza. Dawa nzuri ni kupuuza immediately. Ukiendelea kuwajibu ndiyo wanakutibua zaidi. Na kwa vile wao (trolls) ndiyo kazi yao, wewe ndiyo utabakia na maumivu kama hutokuwa makini. Immediately tia kwenye ignore list na endelea na maisha yako !!!