Hahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu habariIli akipate anachokitafuta ama?
Nimefanya hivyo daddy [emoji4] [emoji4] [emoji4]Hawako ili kujifunza. Dawa nzuri ni kupuuza immediately. Ukiendelea kuwajibu ndiyo wanakutibua zaidi. Na kwa vile wao (trolls) ndiyo kazi yao, wewe ndiyo utabakia na maumivu kama hutokuwa makini. Immediately tia kwenye ignore list na endelea na maisha yako !!!