Mkuu kwema kabisa, niaje?Muungwana, habari
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ningekuwa nimekuzoea ningetia neno !!!
Hahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3]mimi ni kijana mchapakazi,namiliki nyumba yangu mwenyewe na naendesha biashara zangu, natafuta msichana mrembo mwenye umri kati ya miaka 18-28 aniazime charger ya Nokia
[emoji23][emoji23][emoji23]♂♂♂