myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SIKU IMESHIKA KASI
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Hizo dawa uliandikiwa hosp au ulijinywea tu. Kapime hosp upate jibu kamiliTumbo linakua kama kitu kinakwangua sana an napata shda sana
Nmetumia dawa za minyoo znagoma
Msaada wajamen plz
Hizo dawa uliandikiwa hosp au ulijinywea tu. Kapime hosp upate jibu kamili