BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Inasikitisha sana. Kiu yake ya elimu imekua sababu ya kukatisha uhai wake.
Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 11 ameamua kujiua baada ya ombi lake la kuhamishwa shule kukataliwa huko nchini Kenya.
Taarifa zinasema kuwa mtoto huyo kutoka kijiji cha Ongata Rongai amechukua uamuzi huo mgumu baada ya mama yake kumuambia hana uwezo wa kumpeleka shule binafsi anayotaka, na kumtoa kwenye shule ya umma aliyokuwa akisoma.