Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwendesha Mashitaka wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Leonard Swai ameeleza hay oleo Ijumaa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba wakati akitoa taarifa baada ya kwenda gerezani kama alivyotakiwa na Mahakama.
 
Sethi ambaye ni mshtakiwa wa kwanza katika kesi hii, yeye anayeishi na puto tumboni tangu Desemba mwaka jana na limeisha muda wake na kwamba daktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili walimfanyia uchunguzi na kubaini kuwa puto hilo linatakiwa kuondolewa na mshtakiwa alishirikishwa katika hatua hiyo akaomba daktari wake kutoka Afrika Kusini awepo wakati wa kufanyiwa upasuaji na kuomba muda wa kuwasiliana na daktari huyo," ameeleza Swai.
 
Hata hivyo, Swai ameeleza kuwa madaktari wa hapa nchini wapo tayari kuondoa puto hilo kama afya ya mshtakiwa itaendelea kuathirika au kuwa mbaya.
 
Ameeleza kuwa kwa upande wa mshitakiwa wa pili (Rugemalira) yeye anatibiwa na magereza pamoja na daktari wake anayeitwa Fred ambaye anachukua vipimo na kupeleka hospitalini kwake Sanitas na kurudisha majibu magereza.
 
Amedai katika majibu hayo yanaonyesha kuwa hana saratani kama alivyodai na kwamba Serikali inafuatilia afya zao kwani hakuna jambo nyeti litakaloweza kuhatarisha maisha yao.
 
Awali, wakili wa Sethi, Alex Balomi alidai kuwa wamethibitisha kuwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili haina uwezo wa kumfanyia upasuaji wa ama kuondoa au kuweka hilo puto kwa mteja wake hivyo kitu muhimu ni madaktari wa Afrika Kusini kuwepo nchini na hili ni suala la kutilia mkazo.
 
Back
Top Bottom