Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Miongoni mwa tabia zinazoweza kuharibu ubongo wako

1.Kutopata kifungua kinywa
Watu wenye tabia ya kutopata kifungua kinywa asubuhi wana hatari ya kushusha kiwango chao cha sukari katika damu na hivyo kusababisha virutubisho viendavyo kwenye ubongo kupungua, hali hii husababisha ushindwe kufanya kazi.
 
Kumbuka pia chembe za sumu ya moshi ziendazo kwenye ubongo baada ya kupita mapafuni huharibu mishipa midogo ya kumbukumbu na hivyo kumfanya mtumiaji awe na uwezo mdogo wa kukumbuka vitu na wakati mwingine kumbukumbu zake kufa kabisa.
 
4. Matumizi makubwa ya sukari
Matumizi makubwa ya vitu vya sukari huharibu mchakato wa protini ya mwili na virutubisho vingine kusambaa vema mwilini na hivyo kusababisha ukosefu mkubwa wa virutubisho vinavyokuza na kuuwezesha ubongo kufanya kazi
 
Tukumbuke kuwa ubongo ndiyo mtumiaji mkubwa wa oksijeni, sasa tunapovuta hewa iliyochafuka tunapunguza kiwango cha hewa ya oksijeni iendayo kwenye ubongo na hivyo ukosefu wa hewa hii muhimu katika ubongo huathiri ufanyaji kazi wa ubongo wa mtu.
 
Tunapolala vichwa vyetu vimefunikwa tunaongeza msongamano wa hewa chafu ya kabon dayoksaidi na kupunguza msongamano wa hewa safi ya oksijeni katika mazingira ya kichwa. Hewa hii chafu inapozidi maeneo ya kichwani huuwa uwezo wa ubongo.
 
Back
Top Bottom