Miongoni mwa tabia zinazoweza kuharibu ubongo wako
1.Kutopata kifungua kinywa
Watu wenye tabia ya kutopata kifungua kinywa asubuhi wana hatari ya kushusha kiwango chao cha sukari katika damu na hivyo kusababisha virutubisho viendavyo kwenye ubongo kupungua, hali hii husababisha ushindwe kufanya kazi.