myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Weweeee! Wengine bado tunakuhitaji bana !!!Yapatikana wapi hii?maana naitaka[emoji39][emoji39]
andjul hebu ukuje huku hii kitu yafaa kwa hii weekend aiseh
Keshauza maparachichi tayari? Mbona kama msimu bado? [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️andjul hebu ukuje huku hii kitu yafaa kwa hii weekend aiseh
Twende tukakope [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Atakuwa na pesa zilizosalia maana hana matumizi makubwa tangu aachwe na nsamakaKeshauza maparachichi tayari? Mbona kama msimu bado? [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Kuna mtoto huko bado anahudumia. Mtoto mwenyewe anasoma Feza....Atakuwa na pesa zilizosalia maana hana matumizi makubwa tangu aachwe na nsamaka
Kaka upo?Salaam rafiki
Kuna mtoto huko bado anahudumia. Mtoto mwenyewe anasoma Feza....