Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

d733d98ac99ee95a10aac6a181de569a.jpg
Maajabu
 
Watu wengi leo hawalali usiku kucha wakipambana na yale waliyoyafahamu, utakuta mtu kakonda kwa sababu katambua mpenzi wake si mwaminifu, anakesha akilia bila kujua afanye nini kumaliza tatizo.
 
Watu wengi, hasa wanawake wanaamini kuwa ili upunguze uzito wa mwili kwa urahisi na kwa haraka zaidi ama kubakia katika umbo zuri na lenye mvuto ni lazima kuruka mlo mmojawapo kati ya Chai ya asubuhi, chakula cha mchana, au chakula cha jioni.
 
Dada mmoja wa mapokezi katika kampuni moja ya ujenzi, Faith Drusilla baada ya kujifungua hakuamini umbo lake alipokuwa akijiangalia kwenye kioo. Alijiona kuwa ni mnene sana na umbo lake la kirembo lilipotea. Unene ule ulimtisha kiasi akaamua kuacha kula baadhi ya milo kwa siku ili arudie katika umbo lake la awali. Lakini hakujua kuwa hali ile itamfanya kukosa maziwa ya kutosha kumnyonyesha mtoto wake.
 
Mpima anasema kuwa kuacha kula huwa na madhara kama vile kukaukiwa na maji mwilini, ambayo hutokea pale mwili unapoishiwa na maji kutokana na mtu kutokunywa maji ya kutosha. Anesema kuwa, watu wanaporuka baadhi ya milo, husahau kunywa maji au vinywaji vingine na hali hii ikiendelea kwa muda mrefu hupelekea kukauka kwa maji mwilini.
 
Kwa kuongezea kunakuwa pia na baadhi ya vitamini na madini ambayo hukosekana. Kwa ujumla unapoacha kula baadhi ya milo huupelekea mwili kukosa nguvu. Pia hupunguza nguvu ya kinga ya mwili jambo ambalo huweza kusababisha magonjwa.
 
Mpima amewaonya wanawake kuwa kuacha kula baadhi ya milo kunaweza kuleta mkanganyiko katika mzunguko wao wa hedhi kutokana na kuharibika kwa usawa wa homoni. Mzunguko wa hedhi unaweza kuwahi ama kuchelewa au kutotokea kabisa. hii ni kwa sababu baadhi ya virutubishi vinapohitajika ili kukamilisha mzunguko hukosekana.
 
Kuvimbiwa pia huweza kusababishwa na mtu kuacha baadhi ya milo ili apunguze uzito. Hii huchangiwa na mzunguko kidogo wa chakula katika mmeng’enyo jambo ambalo hupelekea choo kuwa kigumu na kusababisha maumivu wakati wa kujisaidia na hata tumbo kuuma.
 
Having a circle of people around you who encourage you, motivate you and support you, truly is a blessing. From time to time, it's very important that we take careful inventory of the people that we have around us. Sometimes elevating in life requires separation. Sometimes moving to the next level in life may require you to outgrow certain people, or going in a completely different direction. Don't have people around you who want to limit your possibilities or dim your sunlight. Keep a great group of friends and loved ones around you who want to see you excel and reach even higher levels in life.
 
[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]

So True Thatz What Life Is....

Just Loved These Lines
About LIFE.
When I Got Enough Confidence
The Stage Was Gone.
When I Was Sure Of Losing
I, Won.
When I Needed People Most
They Left Me.
When I Learnt To Dry My Tiers
I Found A Shoulder To Cry On.
When I Mastered The Skill Of
Hating
Someone Started Loving Me
From Core Of Heart. &
While Waiting For Light For
Hours When I Fell Asleep
The Sun Came Out.
That's LIFE.

No Matter What You Plan
You Never Know What Life Has
Planned For You.
Success Introduces You To The
World,BUT
Failure Introduces
The World To You.

Always Be Happy
Often When We Lose Hope &
Think This Is The End,
God Smiles From Above &
Says Relax, Sweetheart
It's Just A Bend,Not the End.

[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]
 
[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]

If your efforts fail to bring the results you intended, don’t get discouraged. Get busy, adjust, and make an even greater effort.

Positive feedback and positive results are good, helpful, nice, but not essential. You can be positively motivated by disappointing results too.

Complaining the life is not fair. It won’t change anything for the better. What will make things better is to persist in what you do.

Sooner or later you will pick yourself up and get yourself going again. You might make it sooner.

Let go of judgments about whether it’s easy or hard. Just look ahead toward what you wish to achieve, and take the first step.

After you stumble, the way to feel better is to feel yourself taking action. Go ahead, and bring on that good feeling as soon as you can.

[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]
 
Back
Top Bottom