Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Msaaada: Naombeni mnifunze ku - multi QuoteSerikali inalipa dola 4,440 kwa mtoto wa kwanza na wa pili na dola 5,900
Pale unataka kumwambia mpenzi, Baby wewe ni Tunda langu, then unakosea unaandika Baby we ni punda wangu.
Unaweza ukakimbia ukafika February
[emoji124] [emoji124] nikilala naota,naota kama unaniita...Nimekuona. Umepita kimya kimya. Umejikausha kama vile siyo miguu yako hii. Anyway. Uwe na siku njema...[emoji120][emoji120][emoji120]. Miss you....