andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Hapa ukivuka daraja la Mkapa, kabla hauja fika kwenye kona shusha kulia. Mbele kuna msitu halafu nyumba ndio zinafuata. Karibu sana mzee wa liverHahaa uko nchi gani
Hapa ukivuka daraja la Mkapa, kabla hauja fika kwenye kona shusha kulia. Mbele kuna msitu halafu nyumba ndio zinafuata. Karibu sana mzee wa liverHahaa uko nchi gani
Nakuja
Nakuja
Nakuja
Safari ya kibiti inahitaji kujiamini mbona maisha ya kule ni salama tu mkuu.Kichwa kichafu umerudi salama?
Una bahati sana wewe!
Yes my dearISIS
Imekupagawisha nini??Hiyo avatar
Kichwa kibaya huyo[emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] nani tena Huyo ananiwinda
Born againAgain and again
Hapo umekosa like yangu
Well saidSasa na wewe uwape like wenzio bhana
Deo kisandu mtu mkubwa yule,Morning Deo kisandu umepotea
Usiku mwema piaHii speed imenishinda, nalala. Usiku mwema wakuu
HahajajjajjajaNami ndiko naelekea huko nyuma napiga likes mbele narudi kuendelea huku