ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Kamoja ka nini hako?nipe kamoja ka asubuhi
Kamoja ka nini hako?nipe kamoja ka asubuhi
We toa likes watakupa na zao...Jamani Mimi ndio naingia sasa humu. Sijui mtafanyaje kunipa likes zangu nilizozikosa tafadhalini
HahhaahhaAjaribu amesahau mimi masai wa Munduli sijuii kuna jkikosi gani kule Munduli
Hahahahaha....Mkuu jiangalie, uniq anakuona
Gawa, gawa likes hizo tajiri wetu!Naomba mniite Mzee wa Kugawa Likes tukiwa Humu kuanzia leo.
Jukwaa lile ni unatoa HOJA unaambulia kichomi.Anataka LIKES KWA HOJA AENDE JUKWAA LA SIASA
Huna macheko kabisaUkiona New alert we Pigia Mstari. Ni Like yangu hiyo
Muambie asikie kwa sautiMkuu jiangalie, uniq anakuona
Majukumu tu mkuu ila tupo pamojaNdio Mpango Mzima. Ulikuwa wapi Ndugu