Amin[emoji120][emoji120][emoji120]Ombi lao lishajibiwa mbona? Waambie wasiwe na wasiwasi. Wawe na imani na kila kitu kitakuwa sawa. Itakuwa !!!
Halafu nduguyo deo kisandu kakamatwa ujue?Ni mtumishi wake sio yeye
Yegomasika jakitoo anakuita huku
Salama..pole sana..nakuombea afya njemaKiasi flu inansumbua hatari, za kwako?
Unakimbia kuja Koromije ama?[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Jirani uko macho. Hupitwi na kitu....Mh!!
Kumbuka kila mwanamume ana test yake ,
This is the original Jakitoo. Wengine wote mbwembwe tu !!!Denise
Picha nyingine zinatisha mpaka naogopa[emoji16][emoji16][emoji16]Jirani uko macho. Hupitwi na kitu....
Mi sijawahi [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️