Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

hakuna mtu anaependa mtu ambaye kila wakati ni wa chini tu ambae hawezi kusaidia mume anapomuhitaji kutoa msaada. maisha yana changamoto nyingi ambazo kila ndoa inapitia . wakati mwingine wanaume huhitaji bega la kulilia pia.
 
hakuna mtu anaependa mtu ambaye kila wakati ni wa chini tu ambae hawezi kusaidia mume anapomuhitaji kutoa msaada. maisha yana changamoto nyingi ambazo kila ndoa inapitia . wakati mwingine wanaume huhitaji bega la kulilia pia.
 
5.Ni Mwenye Tamaa Ya Mafanikio.
Katika kutia moyo na kusaidia unapigania lengo lako mwenyewe na ndoto yako, mwanamke aliekomaa ana maono kwa ajili ya baadae na anafukuzia . mwanamke kama huyo ndio wa kumchukua kuwa nae ulimwenguni. rafiki wakati wote, ni timu katika mahusiano , na katika maisha yote.
 
7.Yuko tayari kuweka nguvu zake kwako.
Sehemu hii ni ngumu kidogo, anaweza kukufanya pia uwe na furaha kwa kuweka nguvu zake kwako,. lakini kama utaona mwanamke anaendelea kufanya hivyo hata kama mmekuwepo muda mrefu kwenye mahusiano, ujue kwamba yuko tayari , na anajali kuwepo kwako.
 
8.Anathamini kama wewe.
Hii inatokana na familia alikotoka, ni familia inayothamini watu.ndio hapo tunapata umuhimu au hapana, vitu tunavyoamini au hapana.jinsi tunavyowafanyia watu wengine kama sisi. haijalishi unawavutia kwa kiasi gani , kama huna hilo ni shida mojawapo basi hakutakuwa na usalama kwenye mahusiano.
 
9.Anavutia kimwili.
Hili nalo lazima lisemwe, habari njema ni kwamba, kila mwanaume huvutiwa ni kitu kitofauti na mwingine. na kila mtu ana test yake ya uchaguzi. lakini kwa ajili hiyo ni muhimu kuwa wa kuvutia hii ni pande zote, kwa mwanamke na mwanamume wanahitaji kuwa na mvuto wa kimwili..
 
10.Ni Rafiki
Urafiki kwenye mahusiano unahitaka ili kujenga upendo, kutoaka pamoja, kucheza pamoja.
Hakuna mwanaume anaehitaji kuona aibu kumtambulisha mke wake kwa sababu ya tabia yake ya kutokuwa teammmate. Bila shaka inaumiza., kusema inabidi aonyeshe sifa hizo hizo kwa marafiki, familia , wafanyakazi na kila mtu kwenye maisha yake.
 
Back
Top Bottom