Mh![emoji23][emoji23]
Abeeeeeeeee [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Punguza wenge we pimbi baki kwanza [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]oooooh boy!
Ngoja niondoke tu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Daa! Huu uzi bado upo kumbe!?
Duh!jana[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Yaaani wewe....
Jana kule niliona zao la kikao cha pili cha wanaukoo. Kidogo nizimie...
Wanakaa tena lini? Tena safari hii basi watoe ruhusa ya kweli kweli kabisa kabisa. Wanasita sita nini wakati mstari ushavukwa? Wananiudhiiiiiii basi tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ufuge ndevu ziwe safi sio unaziacha tu zinakuwa ka shamba la bangi
Jirani umeanza na miguno yako [emoji23][emoji23][emoji23]
Jiraniiiiii
J hajambo?Punguza wenge we pimbi baki kwanza [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Una sauti nzurii ya kuitikia....Jiraniiiiii