carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kumbe we tomaso eeh[emoji23][emoji23]Ugali na samaki sili mimi, Nina allergy navyo! (Kuna mtoto mmoja nilikutana nae mitaa ya Nansio akaniambia eti yuko allergic na “ughali”, anavyoutamka mwenyewe, kwa hiyo hali! Nilimwangaliaaa! [emoji1][emoji1][emoji1]
Eti ughali uuuwiii
Hata mwenyewe nina allergy na "ughali"