Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kumbe we tomaso eeh[emoji23][emoji23]
Eti ughali uuuwiii
Hata mwenyewe nina allergy na "ughali"
Ohhhh !!!
Aiseeh!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haupiti kooniNakwambia kuna watu wana vituko aisee! Mtu ugali ndio ulikuwa chakula chake cha kila siku, leo anajifanya kubana pua, eti sili ughali! [emoji23][emoji23][emoji23] Kumbe na wewe una allergy hiyo? Uuuwiii[emoji134]♂️[emoji134]♂️ [emoji1][emoji1]
Yaaani wewe....[emoji23][emoji23]
Abeeeeeeeee [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]