Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

6ed154da97a23a78857344af8991896e.jpg
Wow[emoji7]
 
Umedata? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ni mama mtu mzima tena mwanakwaya na anajiheshimu sana. Ukimwandikia fb atakujibu mara moja. Kama unataka kuokoka sema nikuunganishe !!!
b4a67ea1cbda2d6dfb062370d34e317c.jpg
Ndio mkuu nataka kuokoka, hivyo ningependa muongozo wake kilokole kilokole
 
Zinaweza kumpa mtu uwezo wa kula ugali kwa picha ya samaki! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Hata sijui nimesema nini! ‍♂️[emoji1550][emoji1550]
kumbe eeh,yaani kuangalia tu washiba kabla hujala[emoji23][emoji23][emoji23]kazi ipo
Hata sijui nasema nini[emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hivyo, mafanikio ya kweli katika maisha ni mchakato ambao kukamilika kwake kunahitaji subira, kujituma na kujitahidi katika kazi. Watu wanatakiwa wawekeze nguvu zao katika katika kazi na wajiwekee mipango endelevu ili waweze kujiletea maendeleo.
 
Ukiangalia kwa makini historia za watu wengi waliofanikiwa katika maisha ndani na nje ya nchi yetu, utagundua kuwa hakuna aliyepata mafanikio bila kuvuja jasho. Bila shaka walifanya kazi kwa bidii wakiwa na malengo na hawakukata tamaa hata pale walipokwama.
 
Kushindwa kwao kuliwapa ari ya kujaribu tena na tena na kisha kusonga mbele mpaka wakafika pale walipo sasa. Hivyo basi, subira na kutokata tamaa ni kanuni ya msingi kabisa katika kuyaendea mafanikio.
 
Katika kuielewa nadharia hii kuwa maisha hayana njia ya mkato, hebu tuiangalie Ujerumani na watu wake. Baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia mwaka 1945 Ujerumani ilikuwa imeharibiwa vibaya kiasi cha kutotamanika.
 
Wataalamu wanasema kwamba Wajerumani si watu wenye akili sana kushinda wengine wala hawana vipawa vya ajabu kuliko watu wengine, bali sababu kuu ya kuendelea kwao ni kuwa na nidhamu na utambuzi wa wajibu ambao umekuwa ni tabia ya taifa zima.
 
Back
Top Bottom